Categories
Habari

Baada Ya Kukumbana Na Misukosuko Ikiwa Ni Pamoja Na Kukamatwa na Kuhojiwa TAKUKURU Mara Baada Ya Kurejea Tanzania, Manji Aamua Kurudi Tena Ughaibuni

Mfanyabiashara Yusuf Manji amerejea ughaibuni baada ya kukaa nchini kwa takribani mwezi mmoja huku akikumbana na misukosuko baada ya kukamatwa na kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na kisha kuachiwa kwa dhamana. Taarifa zilizolifikia Mwananchi na kuthibitishwa na watu wa karibu wa Mwenyekiti na mfadhili huyo wa zamani wa klabu ya […]