Categories
Biashara Habari

Bosi Vodacom Tanzania Aachia Ngazi

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Hisham Hendi ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na Novemba Mosi, 2021 itakuwa siku yake ya mwisho baada ya kuitumikia kampuni hiyo yenye wateja katika maeneo mbalimbali nchini.  Katika taarifa yake Vodacom imeeleza kuwa Bodi ya wakurugenzi iko katika mchakato wa kumpata mrithi wa Hendi, ambaye ameitumikia kampuni hiyo kwa miaka mitano, […]

Categories
Michezo/Burudani

Vodacom Yajitoa Kudhamini Ligi Kuu Ya Soka Tanzania Bara

Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania imetangaza kujiondoa kwenye kudhamini Ligi Kuu Soka Tanzania Bara. Taarifa iliyothibitisha leo Juni 8, na Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo, Vodacom imekuwa ikipitia wakati ngumu wa kifedha hatua iliyosababisha kushindwa kutekeleza vipengele muhimu vya kimkataba ikiwamo kushindwa kutoa nauli kwa vilabu. Awali, Vodacom […]