Categories
Habari

Zaidi ya Malori 150 ya Tanzania Yamezuiwa Kuvuka Mpaka Zambia. Baadhi ya Madereva Wadai Kusubiri Miezi Mitatu Sasa. Hali ni Kama Hiyo Huko Malawi.

Zaidi wa malori 150 ya Tanzania pamoja na madereva wake wazuiwa kuendelea na safari yao baada ya kuvuka mpaka na makontena ya magogo toka nchini DR Congo. Tayari siku thelathini zimepita bila kupatikana ruhusa ya kuendelea na safari. Huku wengine pia wakisema wao wana siku 90 wamekwama nchini Zambia. Madereva na wamiliki wa malori wamefanya […]