Mamia ya watu wanaoshiriki upatu unaoendeshwa na kampuni ya Alliance in Motion Global Tanzania (AIM-Global) wameingiwa wasiwasi wa kupoteza mamilioni ya fedha walizowekeza katika kampuni hiyo kwa matarajio ya kuvuna zaidi. Kuendesha upatu ni kinyume cha kifungu cha 171A (1) na (3) cha Kanuni ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa […]
