Categories Habari Siasa Unafiki Pro Max: Licha ya Kuwa Kinara wa Kuzuwia Kuikosoa Serikali ya Mwendazake, Polepole Sasa Ataka Serikali ya Mama Samia Ikosolewe Post author By admin Post date November 27, 2021 “Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli”- Humphrey Polepole Tags Mama Samia Suluhu, Polepole, Unafiki wa kisiasa