Categories
Habari

January Makamba Aanza Uwaziri wa Nishati Kwa Kishindo: Atoa Wiki Mbili Kwa Tanesco Kumaliza Tatizo Sugu La Umeme Kukatika Mara kwa Mara

Dar es Salaam. Waziri wa Nishati, January Makamba ametoa wiki mbili kuhakikisha hakuna tatizo la kukatika umeme nchini Tanzania. Leo Ijumaa Septemba 17, 2021 Makamba amefanya ziara ya kushtukiza katika ofisi za Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) baada ya malalamiko ya wananchi kuongezeka kuhusu kukatika kwa umeme . Makamba amesema atakayeshindwa kutekeleza majukumu yake na malalamiko […]