Categories
Habari

Mamlaka Ya Kupambana Na Kudhibiti Madawa Ya Kulevya Yakamata Takriban Kilo 100 Za “Unga” Mwezi Juni

TAARIFA YA KAMISHNA JENERALI WA MAMLAKA YA KUDHIBITI NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA GERALD MUSABILA KUSAYA KWA WANAHABARI TAREHE 19 JUNI, 2021 OPERESHENI YA UKAMATAJI WA DAWA ZA KULEVYA KWA MWEZI JUNI Ndugu WanahabariNawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Nimewaita leo tuzungumze kutokana na matukio yaliyojitokeza katika kipindi cha mwezi mmoja […]