
Tag: Tundu Lissu

Mr Lissu, who has been holed up in the German embassy for eight days citing threats to life, was escorted to the Julius Nyerere International Airport in a convoy of diplomatic vehicles. βπΎπΉπΏ pic.twitter.com/8qOQf6nAk0 β Tundu Antiphas Lissu (@TunduALissu) November 10, 2020 He left in the afternoon aboard an Ethiopian Airlines plane, accompanied by a […]

Tundu Lissu akihojiwa na redio Ujerumani DW anasema amepata simu za kutishiwa amani na ameamua kujificha kwenye makazi ya Balozi wa Ujerumani Anasema maisha yake yako hatarini na anajipanga kuondoka na kurudi Ubeligiji Tundu ni mwanasheria na very treak man tujihadhari naye sana ========= LISSU: Niko katika makazi ya balozi wa Ujerumani, Dar es Salaam […]






Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimeshutumiwa kwa kutumia picha ya kampeni za uchaguzi za mgombea wake wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, Edward Lowassa, kujenga taswira ya umati uliojitokeza kumpokea mgombea wake katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, Tundu Lissu, huko Shinyanga. Picha hiyo “feki” ilibandikwa kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter na Mwenyekiti […]

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chadema, Tundu Lissu, amewataka Watanzania kufanya maandamano ya amani nchi nzima kuishinikiza Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwarudisha bila masharti wagombea wa vyama vya upinzani walioenguliwa isivyo halali. Lissu ameongea hayo muda mfupi uliopita wakati anahutubia kwenye uzinduzi wa kampeni za urais, ubunge na udiwani kwa […]