
Tag: Tume Ya Uchaguzi Tanzania



Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chadema, Tundu Lissu, amewataka Watanzania kufanya maandamano ya amani nchi nzima kuishinikiza Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwarudisha bila masharti wagombea wa vyama vya upinzani walioenguliwa isivyo halali. Lissu ameongea hayo muda mfupi uliopita wakati anahutubia kwenye uzinduzi wa kampeni za urais, ubunge na udiwani kwa […]

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevifungia vituo vya habari vya Clouds TV na Radio kwa siku saba kuanzia kesho Agosti 28 na adhabu ya kuomba radhi siku nzima ya leo kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji na kanuni ndogo za utangazaji za Uchaguzi. TCRA imesema kosa walilolifanya ni kutangaza takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa […]

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania, Jaji Somistocles Kaijage ametangaza kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Tundu Lissu ametimiza vigezo vyote na masharti ya kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho kikuu cha upinzani . Kulikuwa na hofu kubwa miongoni mwa wafuasi wa chama hicho kuanzia […]


Developing story: Tanzania ni kama imesimama, ikifuatilia kwa makini kinachoendelea huko Dodoma ambako mgombea kiti cha urais kwa tiketi ya Chadema, Tundu Lissu anarejesha fomu, huku kukiwa na tetesi kuwa Rais John Magufuli ametoa maagizo kuwa mgombea huyo, anayetarajiwa kutoa upinzani mkali kwake, akwamishwe. Gazeti hili linaendelea kufuatilia matukio ya huko Dodoma na litawaletea taarifa […]

Kamati Kuu ya CCM kupitia kwa Katibu Mwenezi wa chama hicho, Humphrey Polepole, imetangaza majina ya wanachama wake waliopitishwa kugombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho. Baadhi ya majina na majimbo husika ni kama ifuatavyo. ARUSHA Arusha mijini- Mrisho Mashaka Gambo Arumeru Magharibi- Noah Lebrus Molel Arumeru Mashariki- John Palangyo Karatu- Daniel Tlemai Longido- Stephen […]

Moja ya matukio ambayo yameendelea kutawala anga za habari za uchaguzi nchini Tanzania ni hilo la fomu za ubunge wa jimbo hilo kwa upande wa Chadema kuchukuliwa na “mtu asiyejulikana.” Gazeti hili lilisharipoti kuhusu tukio hilo japo jana sakata hilo lilichukua sura mpya baada ya kusambazwa video inayoonyesha suala zima. Na ni video hiyo inayoweza […]