Ofisa wa programu wa kituo cha Haki za Binadamu (LHRC), Tito Magoti na mtaalamu wa Tehama, Theodory Giyani wameieleza mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa wameshindwa kufikia muhafaka wa makubaliano na mkurugenzi wa mashtaka nchini (DPP). Agosti mwaka huu washtakiwa hao wamemuandikia barua DPP wakiomba kukiri mashtaka yao ili kuimaliza kesi hiyo. Washtakiwa hao wanakabiliwa […]
