
Tag: Teuzi


MKOA wa Pwani nchini Tanzania, ‘umepiga bao’ mikoa mingine nchini humo kwa kutoa mawaziri na naibu mawaziri watano katiba Baraza la Mawaziri. Katika baraza hilo la mawaziri 25 na naibu 26 lililotangazwa jana Jumamosi tarehe 8 Januari 2022 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Katanga, Pwani yenye majimbo tisa imeizidi mikoa mingine kama Dar es […]

Categories
Mama Samia Ateua Wakurugenzi Wa Wilaya
