Categories
Habari

Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima amesema vijana watakuja kufanya mapinduzi.

Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima amesema vijana watakuja kufanya mapinduzi endapo wanasiasa wasipojirekebisha katika mfumo wao wa maisha ya kisiasa. Padre Kitima ameyasema hayo jana Alhamisi Septemba 16, 2022 jijini Dar es Salaam wakati wa kongamano la maadhimisho ya siku ya kimataifa ya demokrasia ambayo iliwakutanisha wadau mbalimbali […]