Categories
Michezo/Burudani

Ubingwa Wa Simba (@SimbaSCTanzania): Mo (@moodewji) Na CEO Barbara (@bvrbvra) Waonyesha Furaha Yao

Categories
Michezo/Burudani

Simba Yatwaa Ubingwa Wa Ligi Ya Tanzania Bara, Italia Yatwaa Ubingwa Wa Ulaya

Categories
Michezo/Burudani

Mchakato Wa Mabadiliko Ya Mfumo Wa Uendeshaji wa Klabu Ya Simba: Mo (@moodewji) Asikitishwa Na Mwenendo Wa Tume Ya Ushindani (FCC) Unaochelewesha Mchakato Huo

Categories
Michezo/Burudani

Simba Yaachana Na Kocha Wake Mzungu

Categories
Michezo/Burudani

Uwekezaji Simba: Mo Aongeza Shilingi Milioni 400 Zaidi Kwenye Shilingi Bilioni 19.6

SAA chache baada ya Tume ya ushindani wa kibiashara (FCC) kubainisha moja ya vitu ilivyohitaji kwenye mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji wa klabu ya Simba ni ufafanuzi juu ya kiasi halisi ambacho mwekezaji, Mohamed Dewji anatakiwa kuwekeza katika mabadiliko hayo ili kuondokana na mkanganyiko ulioko, imebainika kwamba mwekezaji huyo ameongeza mkwanja. Juzi taarifa ya FCC […]

Categories
Michezo/Burudani

CEO Mpya Wa Simba Barbara Gonzalez Aanza Kazi Kwa Ushindi, Simba Wainyuka Ihefu SC 2-1

Afisa Mtendaji Mkuu mpya wa klabu ya Simba, Barbara Gonzalenz, ameanza majukumu yake mapya vizuri baada ya klabu hiyo kuinyuka Ihefu FC mabao 2-1 katika pambano la Ligi Kuu ya Vodacom. Simba ndio waliokuwa wa kwanza kuona nyavu za wapinzani wao baada ya John Bocco kupachika bao dakika ya 10. Hata hivyo bao hilo halikudumu, […]

Categories
Michezo/Burudani

Wataalam wa HR/Uajiri: Bodi Ya Simba Haijakiuka Taratibu Kumteua CEO Mpya Barbara Gonzalez

Kufuatia mjadala uliojitokeza jana baada ya Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba ya Tanzania kutangaza kuwa imemteua Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez, kuwa Afisa Mtendaji Mkuu kamili, gazeti la Habari Tanzania lilifanya mawasiliano na wataalamu wa masuala ya raslimali watu (human resources) na uajiri ili kupata mtazamo wao wa kitaalamu. […]

Categories
Michezo/Burudani

Simba Yapata CEO Mpya: Mo (@MooDewji) Amtambulisha Mrithi Wa Senzo

Categories
Michezo/Burudani

Simba Yaandika Historia: Sasa Inapatikana Kwenye “Gemu” ya Kompyuta ya Playstation

Klabu ya soka ya Simba ya Tanzania imeweka rekodi kwa kuwa ya kwanza Tanzania, na miongoni mwa chache barani Afrika, kuwemo kwenye “gemu” ya kompyuta (computer game) ya Playstation. Taarifa hizo ni kwa mujibu wa twiti ya mfadhili mkuu wa kalbu hiyo kongwe, Mohammed “Mo” Dewji.