Leo Desemba 1 ni kilele cha Maazimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambayo inalenga kukuza ufahamu na athari zitokanazo na ugonjwa huo. Kitaifa maazimisho hayo yanafanyika mkoani Mbeya ambapo kaulimbiu ni ‘Zingatia Usawa. Tokemeza UKIMWI, Tokomeza Magonjwa ya Mlipuko.’
