Categories
Habari

Mama Samia Kuanza Ziara Ya Siku Mbili Burundi Kesho

Categories
Habari

Dear Mama Samia, Wazungu Wa Unga Wanakubipu: Madawa Ya Kulevya Yarudi Kwa Kasi, Kilo 88 Zakamatwa Dar

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imefanikiwa kukamata kilo 88.27 za dawa za kulevya aina ya Heroin na Methamphetamine zikiwa ndani ya gari aina ya Toyota Prado iliyokuwa imetelekezwa barabarani. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam , Kamishina Jenerali wa Mamlaka hiyo Gerald Kusaya amesema dawa hizo zimekamatwa Juni 2 mwaka huu […]

Categories
Habari Sayansi

Kukabiliana na Janga La Korona Tanzania Na Kukidhi Matakwa Ya IMF: Serikali ya Mama Samia Yaagiza Uvaaji Barakoa Kwenye Mikusanyiko

Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali. Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za afya ya msingi na kwamba watapimwa kulingana na utendaji wao. Pamoja na hatua mbalimbali […]

Categories
Habari Siasa

Rais Samia Afanya Mabadiliko Baraza La Mawaziri, Ateua Katibu Mkuu Kiongozi Mpya, Bashiru Atoswa

Ikulu, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wabunge watatu na kufanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri ambapo amewabadilisha Wizara baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri na ameteua Mawaziri na Naibu Mawaziri wapya. Akizungumza baada ya Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango kuapishwa, Ikulu Chamwino jijini Dodoma, […]

Categories
Siasa

Lissu Akemea Kauli Ya Mama Samia Kuwa “Askari Wetu Akipiga Mtu Tatu Akamkosa Atawajibika.”