Categories
Biashara

Mama Samia Kuondoka Leo Kwenda Marekani Kuhudhuria Baraza Kuu La Umoja wa Mataifa

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Septemba 18, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea New York nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, ambapo tarehe 23 anatarajiwa kulihutubia baraza hilo. Pamoja na Mkutano huo, Rais Samia pia atahudhuria  mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya tabia nchi, […]

Categories
Habari Siasa

Mama Samia Arejesha Tumaini, Afanya Mabadiliko Makubwa Kwenye Kabineti Yake: Nyota Ya January Makamba Yang’ara, Awa Waziri Wa Nishati, Dr Tax Awa Waziri Wa Ulinzi wa Kwanza Mwanamke TZ, “Chato Gang” Wawili Chali, Feleshi Mwanasheria Mkuu Mpya

Categories
Habari

Gwajima “Kuwasha Moto Tena” Kesho Baada Ya Mama Samia “Kumnadi” Na Kujibiwa “Hatuchanji” Na Wana-Jimbo Wa Askofu Huyo Alipowauliza “Tunachanja Hatuchanji?”

Categories
Habari

Kauli Za Mama @SuluhuSamia Za “Huyu Mwanamke Au Mwanaume?” Na “Vifua Flati Kama Wanaume” Kwa Wachezaji Wa Twiga Stars Zashutumiwa Vikali, Adaiwa “Kuwanyanyapaa” Wachezaji Hao Wa Kike “Waliojengeka Kimazoezi,” Afananishwa Na Udhalilishaji Wa “Mwendazake” Dhidi Ya Wanawake

Categories
Habari

Mama Samia Awapangia Vituo Baadhi Ya Mabalozi Wateule, Elsie Kanza Anaenda Marekani, Lt Gen Yakub Uturuki, na Mahmoud Thabit Kombo Italia

Categories
Habari

Mama @SuluhuSamia Awashukuru Watanzania Kwa Kukubali Tozo Kwenye Miamala 🙄

Categories
Habari Siasa

Haijawahi Kutokea: CCM Yalijia Juu Gazeti Lake La Uhuru Lililodai Mama Samia Hatogombea Urais 2025

Categories
Habari Siasa

“Mama Samia Amepotoshwa Au Ameamua Kusema Uongo Katika Ufafanuzi Wake Kuhusu Kesi Ya Mbowe” – Chadema

Chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema, kimesema rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan “aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo” katika baadhi ya mambo ambayo ameyatolea ufafanuzi katika mahojiano yake maalumu aliyofanya na BBC. Kauli hiyo, imetolewa hii leo na Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika pindi alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es […]

Categories
Habari Kimataifa Siasa

‘Naibu Waziri’ Wa Masuala Ya Siasa Wa Marekani,Victoria Nuland Aja Tanzania, Kukutana Na Mama Samia, Wapinzani

Rais Joe Biden wa Marekani amemtuma “Naibu Waziri ” (Under secretary) anayeshughulikia masuala ya siasa, Victoria Nuland, kwenda nchi kadhaa za Afrika ikiwa ni pamoja na Tanzania, ambako atakutana na Mama Samia Suluhu na pia kufanya maongezi na Wapinzani. CHANZO

Categories
Habari Siasa

Mbowe Amtetea Sabaya, Asema Ametolewa Kafara Na Mama Samia Huku Wahalifu Wengine Kama Waliotaka Kumuua Lissu Wakidunda Mtaani.

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, amesema serikali ya Rais Samia Suluhu imeamua kumtoa kafara aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na kuwaacha wahalifu wengine ikiwemo waliompiga risasi Lissu wakidunda serikalini bila kukamatwa. Mbowe amesema kitendo cha Rais Samia kukataa kukutana na viongozi wa Chadema kwa miezi minne sasa ni cha kinyama […]