Categories
Habari

Mangula: Tulikubaliana Kujenga Gati Bagamoyo, Sio Bandari

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Philip Mangula amewataka Watanzania kutohangaika na upotoshaji unaofanya na baadhi ya watu mitandaoni kuhusu ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, na kwamba wamuache Rais Samia Suluhu Hassan afanye kazi yake ya kutekeleza mipango ya maendeleo. Amesema hayo akizungumzia ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo mkoani Pwani ambapo amebainisha kuwa […]