Categories
Habari

Serikali Yasema Wanaotuza Kwa Kutupa Pesa Chini Kushtakiwa

Wizara ya Katiba na Sheria imewatahadharisha baadhi ya watu ambao wanatupata fedha chini wakati wa kutoa zawadi kwenye sehemu zozote za tafrija, kwani kwa kufanya hivyo ni kosa kisheria na atakayekamatwa kwa kufanya kosa hilo atashtakiwa kwa kufanya kosa la jinai. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, wakati akiongea na […]