Categories
Maisha

#NukuuZaMo (@moodewji): “Uaminifu ni muhimu! Huchukua muda mrefu kuujenga na muda mfupi kuuvunja”

Categories
Maisha

#NukuuZaMo (@moodewji): “Daima kuwa mnyenyekevu na kumshukuru Mungu.”

Categories
Maisha

#NukuuZaMo (@moodewji): “Mtenda wema ni mwema zaidi kuliko wema wenyewe, na mtenda shari ni muovu zaidi kuliko shari yenyewe.” (Maneno ya Imam Ali a.s katika Nahjulbalagh semi no 32)

Categories
Maisha

#NukuuZaMo: “Kaa Tayari Kwa Fursa Mpya. Mwenyezi Mungu Hutoa Riziki Kwa Amtakaye, Bila Kikomo.” – @moodewji

Categories
Maisha

#NukuuZaMo (@moodewji): “Daima Kuna Mwanga wa Kutosha kwa Yoyote Ambae Anataka Kutazama.” — Imam Ali

Categories
Maisha

#NukuuZaMo (@moodewji): “Tafuta Hekima Kutoka kwa Wale Ambao Wapo Kabla Yako.”

Categories
Maisha

#NukuuZaMo: “To live is to change and to change often is to be perfect – Paul Newman”

Categories
Maisha

#NukuuZaMo (@moodewji): “Fanya Wema Katika Kila Neema Ambayo Mwenyezi Mungu Amekuneemesha…” (Maneno ya Imam Ali a.s katika Nahjulbalagh khutba no 308)

Categories
Maisha

#NukuuZaMo: “Ambacho Hakijaanzishwa Kamwe Hakiwezi Kukamilika.” – @moodewji

Categories
Maisha

#NukuuZaMo: “Washindi Huwa Hawakati Tamaa, na Wanaokata Tamaa Huwa Hawashindi.” – @moodewji