Categories
Habari

NHC Yatelekeza Miradi Ya Mabilioni Chato

NAIBU Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula, amesikitishwa kwa kusuasua kwa utekelezaji wa miradi ya shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wilayani Chato mkoani Geita.–Dk Mabula ambaye alitembelea na kukagua miradi hiyo leo Septemba 14, 2021 alionyesha kusikitishwa kutokana na kusuasua kwa utekelezaji wake kunakosababishwa na ucheleweshaji wa fedha.–Miradi mitatu […]