Mtanzania, Dokta Mwele Ntuli, ametangazwa kuwa mmoja wa wanawake 100 maarufu zaidi barani Afrika kwa mwaka 2021. Watanzania wengine kwenye orodha hiyo ya kila mwaka ni Mama Samia Suluhu na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Elsie Kanza. Dokta Mwele ni Mkurugenzi katika Shirika la Afya Duniani (WHO) anayehusika na maradhi ya kitropiki yasiyopewa kipaumbele (neglected […]
