Categories
Habari

Monduli: Kundi La Wamasai Washambulia Gari La DC

Kundi la Masai katika kijiji Cha Moita wilayani Monduli wamevamia gari la mkuu wa wilaya hiyo ,Frank Mwaisumbe na kushambulia gari lake na kuvunja vioo wakati alipoenda kutuliza mgogoro wa ardhi uliokuwa unaendelea. Mbali na uharibifu huo wananchi hao wakiwa na silaha za jadi waliamua kujichukulia sheria mkononi kwa kukatakata mabomba na matenki ya maji […]