Categories Siasa ACT-Wazalendo Washinda Uchaguzi Mdogo Jimbo la Konde, Mgombea Wao Mohammed Said Issa Azoa Asilimia 72% Post author By admin Post date October 9, 2021 Mohamed Said Issa wa ACT Wazalendo ameshinda Ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo uliofanyika leo Amepata kura 2,391 dhidi ya 794 za Mbarouk Amour Habib (CCM), 55 za Hamad Khamis Mbarouk (AAFP) na 98 za Salama Khamis Omar (CUF) Tags ACT-Wazalendo, Mohammed Said Issa, Uchaguzi Mdogo Jimbo la Konde