Categories
Michezo/Burudani

Uwekezaji Simba: Mo Aongeza Shilingi Milioni 400 Zaidi Kwenye Shilingi Bilioni 19.6

SAA chache baada ya Tume ya ushindani wa kibiashara (FCC) kubainisha moja ya vitu ilivyohitaji kwenye mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji wa klabu ya Simba ni ufafanuzi juu ya kiasi halisi ambacho mwekezaji, Mohamed Dewji anatakiwa kuwekeza katika mabadiliko hayo ili kuondokana na mkanganyiko ulioko, imebainika kwamba mwekezaji huyo ameongeza mkwanja. Juzi taarifa ya FCC […]

Categories
Siasa

CCM Yamjia Juu Kigwangalla kwa Kubishana na Mo Dewji, Yamtaka Ajikite Kwenye Kampeni za chama chake

Categories
Michezo/Burudani

Wataalam wa HR/Uajiri: Bodi Ya Simba Haijakiuka Taratibu Kumteua CEO Mpya Barbara Gonzalez

Kufuatia mjadala uliojitokeza jana baada ya Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba ya Tanzania kutangaza kuwa imemteua Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez, kuwa Afisa Mtendaji Mkuu kamili, gazeti la Habari Tanzania lilifanya mawasiliano na wataalamu wa masuala ya raslimali watu (human resources) na uajiri ili kupata mtazamo wao wa kitaalamu. […]

Categories
Michezo/Burudani

Simba Yapata CEO Mpya: Mo (@MooDewji) Amtambulisha Mrithi Wa Senzo

Categories
Maisha

15 Inspiring Mohammed Dewji (@MooDewji) Quotes to Help You Succeed in Life and Business

Described by Forbes Magazine as Africa’s youngest billionaire, Mohammed Dewji took MeTL, his family’s company from a wholesale and retail enterprise and turned it into a multi-billion dollar pan-African conglomerate. The 43-year old whose wealth is estimated at USD 1.5bln was kidnapped on the morning of 11 October 2018 as he arrived the Gym for […]

Categories
Michezo/Burudani

Simba Yaandika Historia: Sasa Inapatikana Kwenye “Gemu” ya Kompyuta ya Playstation

Klabu ya soka ya Simba ya Tanzania imeweka rekodi kwa kuwa ya kwanza Tanzania, na miongoni mwa chache barani Afrika, kuwemo kwenye “gemu” ya kompyuta (computer game) ya Playstation. Taarifa hizo ni kwa mujibu wa twiti ya mfadhili mkuu wa kalbu hiyo kongwe, Mohammed “Mo” Dewji.