Categories
Habari

Mitano Tena: Wanapambaji Kumbi Za Starehe, Washereheshaji (Ma-MC), Wapishi wa Sherehe, Wapiga Picha Sasa Kulipa Ada Na Ushuru

WATU wanaofanya kazi ya kupamba kumbi za starehe, kusherehesha (Ma-MC), wapishi wa sherehe na wapiga picha, watatakiwa kulipa ada na ushuru. Ni baada ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema jijini Mwanza, kupitisha sheria ndogo za ada na ushuru ambazo tayari zimepata baraka za Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi). […]