Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limeyakataa maamuzi ya Kamati ya Miss Tanzania kutaka kumuengua Miss Tanzania 2020/2021 Rose Manfere asiende kushiriki Shindano la Miss World kwa madai ya kuvunja masharti, BASATA imesisitiza Rose ndio aiwakilishe Tanzania na sio Mshindi wa pili Juliana Rugumisa.
