Categories
Habari Siasa

Yawezekana Mahakama Zipo Huru na Zinatenda Haki Kuliko Zinavyoshutumiwa? “Mdude Chadema” Aeleza Kuwa Tayari Ameshinda Kesi TANO Zilizokuwa Zinamkabili.

Categories
Habari

Hukumu Ya Mdude Yaahirishwa Hadi Juni 28 Mwaka Huu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya imeahirisha kusoma hukumu ya kesi ya kada wa Chadema, Mdude Nyangali iliyokuwa itolewe leo Jumatatu Juni 14, 2021. Hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo, Zawadi Laizer amesema ameiahirisha kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake na kubainisha kuwa hukumu hiyo itasomwa Juni 28, 2021. Mdude anakabiliwa na shtaka […]

Categories
Habari Siasa

Hukumu Ya Mdude Kesho, Mbowe Atakuwepo Mahakamani