Categories
Habari

Anayedaiwa Kutengeneza Radi Auawa na Wananchi

Katavi. Baraka Said (30) mkazi wa kijiji cha Mtisi halmashauri ya Nsimbo ameuawa na wananchi baada ya kukatwa na kitu chenye ncha kali kwenye paji la uso na kupigwa na kitu kizito kisogoni akituhumiwa kujihusisha na ushirikina wa kutengeneza radi. Akizungumza na wanahabari leo Januari 29, 2022 kaimu kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa […]

Categories
Habari

Polisi Saba Kizimbani kwa Tuhuma za Mauaji Mtwara, ni Pamoja na ‘Kibaraka wa Bashite’ Aliyemtolea Bastola Nape

Maofisa saba wa Jeshi la Polisi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Hakimu Mkazi Mtwara, kwa tuhuma ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis aliyekuwa akiishi Nachingwea mkoani Mtwara. Miongoni mwa washtakiwa hao ni Gilbert Kalanje, ambaye aliwahi kumtolea bastola Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia, Nape Nnauye. Tukio la Nape kutishiwa kwa bastola lilitokea […]