Categories
Habari

Ubungo Wampima Ubavu Mama Samia: Baada Ya DC, Madiwani Kunusurika Kuzichapa, Meya Na DED Waparurana Hadharani

KIKAO cha Baraza la Madiwani la Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, kilichofanyika jana Jumatano, tarehe 19 Mei 2021, kiliingia dosari, baada ya kuibuka mvutano kati ya Meya wake, Songoro Mnyonge na Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Sipora Liana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es salaam…(endelea). Mvutano huo uliibuka, baada ya Sipora kutuhumu katika manispaa hiyo, kuna […]