MBUNGE wa Songwe (CCM), Philipo Mulugo, amemtuhumu Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Samuel Jeremiah, kwamba ametishia kumuua. Amedai kuwa chanzo cha kutishiwa na mkuu huyo wa wilaya ni kutokana na kumfuatilia kuhusu matumizi ya fedha za michango ya wawekezaji na anadai kwamba anamkwamisha kufanya maendeleo wilayani hapa. Mulugo alimweleza hayo Mkuu wa Mkoa wa Songwe, […]
