Categories
Habari

Mama Samia Ateua Wakuu Wa Mikoa, Ahamisha na Kuwaondoa Kadhaa

Categories
Habari Siasa

Zama Mpya: Mama Samia Asema Ataanza Kuteua Viongozi Bila Kujali Itikadi Za Vyama, Muhimu Ni Uweledi Na Uadilifu

Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake. Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa. Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi, sitochagua huyu katoka Chama kipi yule […]

Categories
Habari Siasa

Watendaji Waanza “Kumpima Ubavu” Mama Samia: Mkuu Wa Wilaya Atishia Kumuua Mbunge. Ni Tishio La Pili Baada Ya Lile La M/Kiti Wa CCM Mkoa Kutishia Kumuua DAS.

MBUNGE wa Songwe (CCM), Philipo Mulugo, amemtuhumu Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Samuel Jeremiah, kwamba ametishia kumuua. Amedai kuwa chanzo cha kutishiwa na mkuu huyo wa wilaya ni kutokana na kumfuatilia kuhusu matumizi ya fedha za michango ya wawekezaji na anadai kwamba anamkwamisha kufanya maendeleo wilayani hapa. Mulugo alimweleza hayo Mkuu wa Mkoa wa Songwe, […]

Categories
Maoni Siasa

Maoni: Mama Samia Atazimudu Fitna Za Watanganyika?

Nimekutana na bandiko hili huko Jamii Forums, mwandishi akiwa mtu anayejiita “Boss” nami nimeona lina umuhimu wa kubandikwa hapa tovutini Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao.. Rais Mwinyi alikuwa ‘victim’ ‘mkubwa Sana wa makundi haya…ilifikia wakati […]

Categories
Habari Siasa

Mama Samia Afanya Teuzi Za Watendaji Mbalimbali Wa Serikali, Amng’oa Doto James Hazina