
Tag: Mama Samia


Categories
Mama Samia Ateua Wakurugenzi Wa Wilaya







Niwaombe sana tulinde amani, vijichokochoko vimeanza naomba msivipokee, wanaokuja na vijichokochoko walishajua matumbo yao yanajaaje, chakula chao wanatoa wapi, pesa za matibabu watatoa wapi, nawaomba wasije wakawaingiza kwenye huo mkenge. Pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani na watoto wako na mama watoto na msijue chakula mnatoa wapi, msijue mtoto akiumwa mtakwenda kumtibu na pesa gani, niwaombe […]

Makamu wa Rais wa waandaaji wa mashindano ya kumsaka mlimbwende wa Afrika Mashariki kwa mwaka huu 2021, Miss Rwanda wa mwaka 2016, Jolly Mutesi, ametoa pongezi kwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu, hususan kwa kuwa hamasa kwa wanawake na wasichana. Tamko kamili la Jolly kama lilivyotafsiriwa kwa Kiswahili […]