Categories
Habari Uchumi

Rais Samia Suluhu Hassan ahutubia katika Siku ya Kitaifa ya Tanzania katika Maonesho ya Dubai Expo 2020 yanayofanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu UAE leo

Categories
Habari

Mama @SuluhuSamia Ziarani Ufaransa na Ubelgiji

Categories
Habari

Mama @SuluhuSamia Atajwa Mmoja wa Watu Maarufu Zaidi Barani Afrika kwa Mwaka 2021. Yumo pia Mshindi wa Tuzo ya Nobel Abdulrazak Gurnah

Viongozi Akinwumi Adesina, President, AfDB, Nigeria Aziz Akhannouch, Prime Minister, Morocco Yvonne Aki-Sawyerr, Mayor, Sierra Leone Ibrahima Cheikh Diong, Director, ARC, Senegal Samia Suluhu Hassan, President, Tanzania Hakainde Hichilema, President, Zambia Paul Kagame, President, Ruanda Agnes Kalibata, Special Envoy, UNFSS, Rwanda Martha Koome, Chief Justice, Kenya Kwasi Kwarteng, Politician, Ghana Wamkele Mene, Secretary-General, AfCFTA, South […]

Categories
Habari Siasa

Ndugai Amuomba Msamaha Mama @SuluhuSamia, Adai Alinukuliwa Vibaya Kwenye Kauli Yake Kuhusu Mikopo

Spika Job Ndugai amesema kauli yake aliyoitoa Desemba 26, 2021 alipoalikwa kwenye tukio la makumbusho ya wagogo kuwa imechukuliwa vibaya na kuleta mkanganyiko Amesema alikuwa anazungumza kuhusu sababu iliyoifanya bunge kukubali na kuipitisha tozo na sio kuwa alikuwa akizungumzia taasisi nyingine yoyote Ndugai amesema video iliyosambaa ilikatwa bila kuleta ujumbe kamili aliokuwa amekusudia. Ameumia kuonekana […]

Categories
Habari

Mama @SuluhuSamia Ateua Mwenyekiti Mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, ni Jaji Jacob Mwambegele

Categories
Habari Siasa

Mama @SuluhuSamia Ajibu Ombi la @zittokabwe kumsihi Rais Asaidie Kuachiwa kwa Mbowe

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amevunja ukimya kuhusu kinachomkabili Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akisema kuwa demokrasia ni kuheshimu sheria. Akizungumza leo Jumanne Desemba 15, 2021 wakati akifungua mkutano wa wadau kujadili demokrasia ya vyama vingi, Rais Samia amesema ni muhimu kuzingatia sheria za nchi. Mkuu huyo wa nchi ameyasema hayo akijibu ombi […]

Categories
Habari

@ZittoKabwe Amuomba Mama @SuluhuSamia Kusaidia Kuachiwa kwa Mbowe

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Zitto Kabwe amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kusaidia kuachiwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. Zitto ambaye pia ni kiongozi wa Chama Cha ACT-Wazalendo ametoa ombi hilo leo wakati wa mkutano wa wadau wa kujadili hali ya demokrasia ya vyama vingi nchini. Mbowe na wenzake […]

Categories
Habari

Mama Samia Kulihutubia Taifa Leo Saa 3 Usiku (Muda wa Tanzania)

Categories
Habari

Mama Samia Mgeni Rasmi Mkutano wa Vyama vya Siasa Desemba 16 hadi 17

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa vyama vya siasa pamoja na wadau mbalimbali wa siasa Mkutano huo ambao awali ulitakiwa kufanyika Oktoba 21, mwaka huu lakini ukahairishwa, imeelezwa kuwa utafanyika Desemba 16 na 17, mwaka huu jijini Dodoma. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Desemba 4, 2021 Mwenyekiti wa […]

Categories
Habari Siasa

Unafiki Pro Max: Licha ya Kuwa Kinara wa Kuzuwia Kuikosoa Serikali ya Mwendazake, Polepole Sasa Ataka Serikali ya Mama Samia Ikosolewe

“Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli”- Humphrey Polepole