Categories
Habari

Breaking news: Mama @SuluhuSamia aridhia mapendekezo ya ongezeko la kima cha chini cha mishahara kuwa asilimia 23.3

Categories
Habari Siasa

Mama @SuluhuSamia akutana na Mh @freemanmbowetz Ikulu leo kwa maongezi

Categories
Habari Siasa Uchumi

Mama @SuluhuSamia atangaza hatua za dharura za serikali kukabili changamoto ya ongezeko la bei za bidhaa mbalimbali hususan mafuta

Categories
Habari

Mama @SuluhuSamia Afanya Mabadiliko Madogo Kwenye Kabineti Yake

Categories
Biashara

Mama @SuluhuSamia afanya teuzi mbalimbali, Polepole ateuliwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

Categories
Habari Siasa

Mbowe kuhudhuria mkutano wa kituo cha demokrasia Tanzania (TDC) Machi 30 huko Dodoma, mgeni rasmi ni Mama @SuluhuSamia

Categories
Habari Siasa

Mama @SuluhuSamia Amuagiza Waziri wa Sheria kuhusu mikutano ya vyama vya siasa

Categories
Habari Siasa

Chadema wabadili msimamo, sasa watashiriki mkutano wa vyama Machi 30 huko Dodoma ambao mgeni rasmi ni Mama @SuluhuSamia

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na NCCR-Mageuzi vimethibitisha kuwa vitashiriki mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania baada ya hoja tano walizokuwa wakizilalamikia kuanza kufanyiwa kazi, ikiwemo kuachiwa kwa Freeman Mbowe. Awali vyama hivyo vilisema havitoshiriki shughuli yoyote ya kisiasa ikiwemo zinazoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa madai ya hoja zao […]

Categories
Habari Siasa

Kesi ya Mbowe: Hatimaye “utu umetawala” baada ya serikali ya Mama @SuluhuSamia kupitia Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kufuta kesi ya Mbowe.

Categories
Habari Siasa

Mwaka mmoja wa Mama @SuluhuSamia madarakani: Askofu Bagonza ammwagia pongezi, asema mafanikio yamekuwa mengi kuliko urefu wa mwaka wenyewe