Categories
Habari

Waliodai “Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Avujisha Video, Picha Zake Za Ngono” Wapandishwa Kizimbani, Video Husika Huko YouTube Ina “Views” Takriban Milioni Moja!

Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashitaka ya kuendesha Chanel ya Utube bila kuwa na leseni. Washitakiwa hao Adamu Thabit( 28) kutoka kampuni ya MMJ Steel Ltd na Mkurugenzi wa Bongo News YouTube, Heri Said(29). Washitakiwa hao wamesomewa mashtaka yao na Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga akisaidiana na Faraja Ngukah, mbele ye Hakimu Mkazi Mwandamizi, Evodia […]