Categories
Habari Siasa

Kesi ya Mbowe: Hatimaye “utu umetawala” baada ya serikali ya Mama @SuluhuSamia kupitia Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kufuta kesi ya Mbowe.

Categories
Habari Sheria

#BreakingNews: Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imewakuta Mbowe na wenzake watatu na kesi ya kujibu

Categories
Habari

Kesi Ya Mbowe: Jaji Tiganga Aahirisha Kesi Hadi Januari 10, 2022

Categories
Habari Siasa

Mama @SuluhuSamia Ajibu Ombi la @zittokabwe kumsihi Rais Asaidie Kuachiwa kwa Mbowe

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amevunja ukimya kuhusu kinachomkabili Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akisema kuwa demokrasia ni kuheshimu sheria. Akizungumza leo Jumanne Desemba 15, 2021 wakati akifungua mkutano wa wadau kujadili demokrasia ya vyama vingi, Rais Samia amesema ni muhimu kuzingatia sheria za nchi. Mkuu huyo wa nchi ameyasema hayo akijibu ombi […]

Categories
Habari

@ZittoKabwe Amuomba Mama @SuluhuSamia Kusaidia Kuachiwa kwa Mbowe

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Zitto Kabwe amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kusaidia kuachiwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. Zitto ambaye pia ni kiongozi wa Chama Cha ACT-Wazalendo ametoa ombi hilo leo wakati wa mkutano wa wadau wa kujadili hali ya demokrasia ya vyama vingi nchini. Mbowe na wenzake […]

Categories
Habari

Kama Ilivyotarajiwa, Mahakama Yatupilia Mapingamizi ya Utetezi, Maelezo ya Mohamed Lingw’enya Yapokelewa na Mahakama. Kesi kubwa Kuendelea Kesho.

Mahakama Kuu Devisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imetupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na upande wa utetezi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi, inayohusu maelezo yanayodaiwa kuwa ya mshtakiwa wa tatu katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, Mohamed Abdillah Ling’wenya. Mapingamizi hayo yaliwekwa na mawakili […]