SI SAWA KUMKAMATA ASKOFU KWA MADAI YA KATIBA MPYA Kwa hakika hali inazidi kuwa ngumu kuelewa mwelekeo wa nchi yetu katika mambo mbalimbali. Mfano mmojawapo ni huu wa vyombo vya Dola kumkamata kiongozi wa Dini Askofu Emmaus Mbandekile Mwamakula kwa kuleza nia yake njema katika suala la Katiba Mpya. Askofu kasema suala analoliona ni kipaumbele […]
