Na Hellen Mtereko, Mwanza Kamishina wa fedha wa uchumi wa Jeshi la Polisi Hamad Khamis Hamad amesema hayo wakati akifungua mkutano wa kimtandao ulioandaliwa na chama cha waandishi wa habari wa kupiga vita matumizi ya Dawa za kulevya na uhalifu Tanzania(OJADACT) kwa kushirikiana na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) pamoja na […]
