Categories
Habari

Makamu Rais Wa #MissEastAfrica2021 @JollyMutesi Ampongeza Mama @SuluhuSamia Kwa Hamasa Anayowapa Wasichana

Makamu wa Rais wa waandaaji wa mashindano ya kumsaka mlimbwende wa Afrika Mashariki kwa mwaka huu 2021, Miss Rwanda wa mwaka 2016, Jolly Mutesi, ametoa pongezi kwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu, hususan kwa kuwa hamasa kwa wanawake na wasichana. Tamko kamili la Jolly kama lilivyotafsiriwa kwa Kiswahili […]