Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imebariki kusimamishwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia na Sekretarieti yake yote, kutojihusisha na siasa ndani ya chama hicho hadi uamuzi huo utakapoamuliwa vinginevyo. Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza amesema uamuzi wa Kikao cha Halmashauria ya chama hicho kilichofanyika Mei […]
