Categories
Afya

“Viongozi Wasiochanjwa Dhidi ya Korona Waachie Ngazi” – Waziri wa Afya Dkt Gwajima

Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa dhidi ya korona watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi ya ugonjwa huo. Waziri wa Afya amesema kama Rais Samia Suluhu kachanja ili iwe mfano, sasa hao viongozi hawatetei msimamo wa Serikali

Categories
Habari

Gwajima vs Gwajima: Waziri Wa Afya Dkt Dorothy Gwajima Awaagiza Polisi Na TAKUKURU Kumkamata Askofu Josephat Gwajima Kuhusu Kauli Zake Dhidi Ya Chanjo Ya Korona

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima ameliagiza Jeshi la Polisi pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini ( Takukuru) kumkamata na kumhoji mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya Uviko 19. Dk Gwajima ametoa agizo […]

Categories
Habari Sayansi

29 Wafariki Kwa KORONA Tanzania, Visa Vipya 176 Jana Pekee, Jumla Ya Wagonjwa Ni 858

Waziri wa Afya, Dk Dorothy Gwajima amesema hadi sasa jumla ya watu 29 wamefariki kutokana na wimbi la tatu la Covid-19 huku jana pekee kukiwa na wagonjwa wapya 176. Idadi hiyo inafikisha Tanzania kuwa na jumla ya wagonjwa 858 wa Covid-19. Akizungumza na waandishi wa habari leo Dk Dorothy amesema takwimu hizo ni alizopata jana […]

Categories
Habari

Tanzania Kupokea Dozi Laki 3 Za Chanjo Ya Korona, Kipaumbele Cha Chanjo Ni Wahudumu Wa Afya

Tanzania inatarajia kuingiza dozi laki 3 za chanjo ya Covid-19 kutoka katika mpango wa COVAX ambao unalenga kusaidia nchi maskini. Waziri wa Afya Dk Gwajima amesema kuwa wanatarajia kuingiza dozi hizo kisha kuanza kugawa kwa wahudumu wa afya na kada zingine ambao ni mstari wa mbele katika kupambana na corona. “Tumeshakamilisha taratibu zote za mpango […]

Categories
Habari

Kwaheri Mwendazake: Waziri Amruka Kimanga Magufuli Kuhusu “Papai Lililokutwa Na Korona,” Asema Zilikuwa Ni Kasoro Za Kimaabara