
Tag: Donald Trump


Mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Democrats Joe Biden amemteua “mpinzani wake wa awali” Kamala Harris kuwa mgombea mwenza wake. Kamala ambaye nae aliwania kuchaguliwa kuwa mpeperusha bendera wa chama hicho kabla ya kujitoa na kumuunga mkono Biden, anaweza kuingia kwenye historia ya taifa hilo kama Mmarekani Mweusi wa kwanza kuwa makamu wa […]