Categories
Habari

Gwajima vs Gwajima: Waziri Wa Afya Dkt Dorothy Gwajima Awaagiza Polisi Na TAKUKURU Kumkamata Askofu Josephat Gwajima Kuhusu Kauli Zake Dhidi Ya Chanjo Ya Korona

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima ameliagiza Jeshi la Polisi pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini ( Takukuru) kumkamata na kumhoji mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya Uviko 19. Dk Gwajima ametoa agizo […]

Categories
Habari

Askofu Zakaria Kakobe Asihi Watanzania Kupata Chanjo Ya Korona, Awaasa Wasidanganywe Na Wanaendeleza Propaganda Dhidi Ya Chanjo

Categories
Habari Sayansi

Breaking News: “Mimi ni Mama wa Watoto Wanne, Bibi, Mke, Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Tanzania. Nipo Tayari kwa Chanjo ya Korona,” Asema Mama @SuluhuSamia Akipewa Chanjo ya Korona Ikulu Leo.

Categories
Habari

January Makamba Atanabaisha Kuwa Ujumbe Unaodai Sasa Anaunga Mkono Msimamo Fyongo Wa Askofu Gwajima Kuhusu Chanjo ya Korona Ni Ujumbe FEKI

Categories
Habari

Chanjo Ya Korona Tanzania: Askofu Shoo, Januari Makamba Wakemea Upotoshaji Wa Askofu Gwajima