Wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uanachama na Chadema jana kwa tuhuma za usaliti wamepanga kuzungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam Jumapili ya kesho tarehe 29.11. 2020. Hii ni developing story. Taarifa zaidi zitawajia kadri zinavyowasili.

Katibu mwenezi wa CHADEMA kata ya Muhintiri-Jimbo la Singida Magharibi ameuawa kinyama kwa kukatwakatwa na mapanga na kufariki dunia akiwa shambani kwake jioni hii na watu wasiojulikana. Taarifa hii ni kwa mujibu wa mgombea ubunge jimbo la Singida Magharibi kwa tiketi ya Chadema, Kulungu Hemed Ramadhan.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimeshutumiwa kwa kutumia picha ya kampeni za uchaguzi za mgombea wake wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, Edward Lowassa, kujenga taswira ya umati uliojitokeza kumpokea mgombea wake katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, Tundu Lissu, huko Shinyanga. Picha hiyo “feki” ilibandikwa kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter na Mwenyekiti […]
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chadema, Tundu Lissu, amewataka Watanzania kufanya maandamano ya amani nchi nzima kuishinikiza Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwarudisha bila masharti wagombea wa vyama vya upinzani walioenguliwa isivyo halali. Lissu ameongea hayo muda mfupi uliopita wakati anahutubia kwenye uzinduzi wa kampeni za urais, ubunge na udiwani kwa […]