
Tag: Boris Johnson


Rais Samia pia ametoa wito kwa nchi zilizoendelea kushikamana na wadau wengine katika kukabiliana na changamoto za tabianchi. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amehutubia moja ya mikutano maalumu uliotishwa na mawaziri wakuu wa Uingereza na Italia pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi (COP 26), unaofanyika […]