
Tag: Bernard Membe


Nimewaita kupitia ninyi niongee na Watanzania. Wengi wameuliza Membe yupo wapi? Au kaunga mkono Juhudi, au kaondoka chama? Mimi Membe ni Mgombea Halali wa ACT Wazalendo. Ni chama chetu kizuri na nitakipeleka kwenye Uchaguzi wa Mwaka huu kama Mgombea wa Urais. Kuna watu walikuwa wanasubiri nitamke tu neno ila mambo yatimie. Mimi hupenda kujibu Maswali. […]

Tamko hilo la Zitto ni kama kupigia mstari kauli hii ya Maalim Seif Sharif Hamad Macho na masikio sasa yaelekezwa kwa Bernard Membe, kada wa zamani wa CCM aliyefukuzwa na chama hicho tawala kisha akajiunga na ACT-Wazalendo, kabla ya kupitishwa kuwa mgombea wa chama hicho katika nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. […]


Vyama vikuu vya upinzani nchini Tanzania vimeshindwa kuunda ushirikiano uliotarajiwa kuvisaidia vyama hivyo kumng’oa madarakani Rais John Magufuli katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu. Jana ilikuwa siku ya mwisho kwa wagombea wa nafasi ya urais kutoka vyama mbalimbali kurejesha fomu zao Tume ya Taifa ya Uchaguzi huko Dodoma, na baadaye Tume kutangaza wagombea […]
