Categories
Habari Siasa

“Mama Samia Amepotoshwa Au Ameamua Kusema Uongo Katika Ufafanuzi Wake Kuhusu Kesi Ya Mbowe” – Chadema

Chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema, kimesema rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan “aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo” katika baadhi ya mambo ambayo ameyatolea ufafanuzi katika mahojiano yake maalumu aliyofanya na BBC. Kauli hiyo, imetolewa hii leo na Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika pindi alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es […]

Categories
Habari

Mtangazaji Mahiri Wa BBC Swahili Salim Kikeke (@Salym) Afika Kilele Cha Mlima Kilimanjaro