Categories
Siasa

Maalim Seif Atangaza Kumuunga Mkono Lissu. Je ACT-Wazalendo Imemtosa Membe?

Categories
Biashara Siasa

Vijana wa CCM Wavamia Ofisi Ya ACT-Wazalendo Kaskazini Unguja Na Kuchana Bendera Kisha Wakabandika Picha za Dkt Mwinyi.

Chanzo: Jamii Forums

Categories
Siasa

Tume Ya Uchaguzi Zanzibar Yaengua Wagombea 15 Wa Uwakilishi , Ambapo 11 Ni Wa ACT-Wazalendo

Categories
Siasa

Urais Zanzibar: Tume Ya Uchaguzi Yatupilia Mbali Pingamizi Dhidi Ya Maalim Seif

Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imempitisha Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif kuwa mgombea wa Urais baada ya kuwekewa mapingamizi 2 siku ya jana Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji mstaafu Hamid Mahmoud amesema kuwa rufaa iliyokatwa dhidi ya Maalim haina mashiko

Categories
Siasa

Urais Zanzibar: Maalim Seif Awekewa Pingamizi

Categories
Habari Siasa

ACT-Wazalendo Yazindua Ilani Yake Ya Uchaguzi (Isome Hapa)

Categories
Siasa

Licha Ya Ahadi Kuwa Wangeshirikiana, Lissu Na Membe Kila Mmoja Kugombea “Kivyake.”

Vyama vikuu vya upinzani nchini Tanzania vimeshindwa kuunda ushirikiano uliotarajiwa kuvisaidia vyama hivyo kumng’oa madarakani Rais John Magufuli katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu. Jana ilikuwa siku ya mwisho kwa wagombea wa nafasi ya urais kutoka vyama mbalimbali kurejesha fomu zao Tume ya Taifa ya Uchaguzi huko Dodoma, na baadaye Tume kutangaza wagombea […]

Categories
Habari Siasa

CCM Kutangaza Waliopitishwa Kugombea Ubunge: Membe, Zitto Watia Neno