“Hatuchagui Mtu wala sura, hata sura yangu ni mbaya, tunachagua Vyama , huwezi kuchanganya mambo Rais awe CCM wengine Vyama vingine, Mimi sifichagi nawaeleza ukweli fanyeni makosa mtajuta, nileteeni Mbunge na Diwani wa CCM, mkiniletea mwingine itaniuzi”-JPM #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/Cz2vtYzvhC
— millardayo (@millardayo) September 6, 2020
“Ukifika Bunda hakuna taa za Babarani haya yote niliwaambia hawakusikia, maendeleo lazima utapeleka mahali ambako unapata support, siwafichi na wala siwatishi nawambia ukweli mchana kweupe, kazi ni kwenu, chagueni wa CCM au chagueni majuto” -JPM akiwa Simiyu#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/cn48tGylPT
— millardayo (@millardayo) September 6, 2020
“Bora ukosee kutafuta Mke/Mume, sio ukosee kuchagua maana majuto yake miaka 5, mkiwa na Diwani wa CCM fedha zikija zikichezewa nitashughulika nae mkimleta mwingine sina uwezo wa kumshughulikia, wa CCM nitamnyoosha hata kumfukuza uanachama, wa chama kingine siwezi kumfukuza”-JPM pic.twitter.com/DjnTicZAtR
— millardayo (@millardayo) September 6, 2020