Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Peter Msigwa ametangaza kuvunja uongozi wa chama Mkoa wa Mbeya na kutoa muda kufanyika uchaguzi mpya.
— Swahili Times (@swahilitimes) January 31, 2022
Hata hivyo, Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya, John David amesema hatambui uamuzi huo, na akamwambia Msigwa kuwa "sio kila Kasa analiwa." pic.twitter.com/fCqxqhgrWA
